bez_mat_text_reg/02/13.txt

1 line
445 B
Plaintext

\v 13 Baada ya kuvecha vahegile, lihoka w2a mtwa amuhumiye Yusufu katika ndoto na kulonga wime mtole maye na mwana vake na mkimbilile misri. Msigale kuko mbaka pendikuvalongel akwa kuvecha Herode amsaka mwana ili amuwulage. \v 14 Pamiye ulo Yusufu alamwike na kumtola mwana na maye vake na kukimbilila misri. \v 15 Akekelo, ukoo hadi Herode peafuwe hii ilitimi kila mtwa alichokuwa amenana kuchumbila nabii kuhuma Misri nimkemeliye mwana vangu.