\v 7 Ni sawa kwango kwisikiavyo juu yinu mwanga mwa bote kwasababu nimekie pamoja wango. Mana mwenga mubile mwaashirika ayango latika neema katika kwitaba kwango na utetezi na uthibitishaji wango wa injili.
\v 8 Nnongo nishahidi wango, jinsi mwamibile nashauku juu yinu mwabote katika undani wapendo la kristo yesu.
\v 10 Niloba kaajili ya neno ilimabe nawezo walengana saw, namambo gagabile bora sana. Kae nenda kanobya ili besafi pasipo bantia yoyote katika lisoba kristo.
\v 11 Nakae ili mutweleewe nalitunda lahaki lipatikanelo. Katika yesu kristo, kwautukufu na sifa ya nnongo.
\p
\v 12 Sasa mwalongo bango, mbala ntange kuwa mamo gagapitike kwango gaipangite injili iyendeli sana.
\v 13 Ndio maana kwitabu kwinu katika kristo, itanganikwe kwa alizi baikulu yote na kwakila mundu kae.
\v 17 Bali bonge matangaza kristo kwa ubinafsi na kwa nia mbaya. Pagani kwasababisha matatizo kwango katika minyororo yango.
\v 18 Kwanyo? Mjalili, aidha nijalili ndela hibile kwa hila au kakweli, kristo ondatangazwa na katika leno nanda palaikya! Ndiyo nenenda palaika.
\v 19 Kwa kwaa ndikite leno laleba yugolekwa kwango. Jambo lino huapita kwasababu ya malobo binu na msaada wa Roho hua Krsisto.
\v 20 Lengana na matarajilo gango gawakika nagakweli ni kwamba nibonali oni. Badala yake kwaujasiri wote kati ambavyo mosabagoli na sasa ndarajila kuwa kristo apala kakatuliwa katika yoga yango, manaibile katika ukoto au katika kiwo.
\v 27 Mpalikwa mahishi maisha ginu katika mwenendo. Mzuri wamipasa injili ya kristo. Mpangenyo ilipanaisa kwinu la au mana ninaisali, niyowe nyemeliko imara katika roho jlmo, mwendashinia, imani ya injili kwa panope.
\v 28 Nakamantishike nakilebe sosote sakipangilwe na madai ginu. Yheno kwabe mishara ya ualibifu. Bali kwinu nilishara ya wokovu bokya kwanaongo.
\v 29 Kwamana mwenga mutipeyeliwa kwaajil ya kristo, nimwanilelibai bali nateseka kai katika yhwembe.
\v 30 Kwamaa mwina mgogoro wolywolya katika wamubenwikwango namwanda yowa kwamba nibilenao hata mbiya mbeno.
\v 12 Kwanyo basi, mwapendwa bango kati mwanutii masobagoti, situ katika obile wongo lakini sasa ni zaidi sana hata pange baa ubone kiniwango, mwaajilibike uwokovu winu mwabene kwayogopa nalendene.
\v 13 Kwa kuwa nnongo hwapanga kazi nkati yhinu ilikumwezesha kunia napanga mambo gagamendeza hwembe.
\v 14 Mupange mambo goti bila malaamiko na mitau.
\v 15 Mupange nyoilikwamba mube bweya wadamia, katika kibelekwe cha uhasi na wovu.
\v 16 Mukamwe sana neo la ukolo ili kwamba ni benasababu yatukweza lisiba lya kristo. Kisha natanga kwamba nibutwikeli lubilo bure wala mbalikeli taaba bure.
\v 25 Lakini nitikiia ni muhimu kumkeleboya kwinu epatra dito. Hwembe ni nongo wangu na mpanga kazi nyango na skari nyango, mjumbe namtumishi winu kwaajili ya mahitaji gango.
\v 26 Kwa saababu abile nahofu na apendile banamwenga mwaboti, kwakuwa mwayone kwamba endeminya.
\v 27 Maana hakika endeminya sana kiasi chawai. Lakini nnongo amekile lwongo, na wema wabile kunami yake bai, lakini kae wabile kunami yango ilikwamba kananibe nahuzuri juu huzari
\v 30 Kwa kuwa yabile kwaajili ya kazi ya kristo akiribia waatarishe maisha gake ilikumiokoa nenga naapangite sibo ambacho mwakombwili panga katika kunihadumia nenga kwa mubile kutalu nane.
\v 1 Hatimaye mwalongo bangu mpaluika katika Ngwana. Nibonali usumbufu twaandikiya kae manen galyagalya. Gano mambo gapat attumpea uslama.
\v 2 Mwiadharin, nabwa mwiadhari na apangakazi abaya mwiadhari baba kana yega yabe.
\v 3 Kwa kuwa twenga ngalikombe. Twenga panga ngatamwabada Nnongo kwa msaada wa Roho. Watuipunga ktika Yesu Kristo, naambao tubileli na ujasili katika yega.
\v 5 Kwani nainilwe lisoba linensense, labelikwile katika kabila la baisraeli. Niwakabila la Benjamini. Nimweblania wa waebrania. Katika kwitimiza haki ya sheria ya musa, nabile nafarisayo.
\v 6 Kwajuudi yango nalitesike kanisa. Kwa kuitii haki ya sheria, nibileli nalawama kisheria.
\v 7 Lakini katika mambo gote ganigabweni kwafaida yango nenga, nagabalingile kiti takataka sabbu ya kutanga Kristo.
\v 8 Kwa kweli nigabalanga mambo gote kati hasara toka na naubara qwakumtanga Kristo Yesu nnga wango. Kwa ajili yake nilekite mambo goti, nigabalanga kati takataka ili nimpate kristo.
\v 9 Nanibone kane katyeke. Ndapu haki yangu binafsi bukana katika sheria bali nibile na haki yelwa yaipatikana imani katika kristo, yabuka kwa nnongo yone msingi katika imani.
\v 10 Sasa mbala langa hembe nanguvu ya ufufuo kwake na ushirika wa mateso gake. Mbalabadilishwa na kristo katika mfano wakiwa chake.
\v 11 Angalau nendaweza banamatu, aini katika ufufuo wawafu.
\v 12 Kwelili kwamba tayari nigapatike mambogo au kwamba nibile namkamilifu katika mambogo bali nenda kwitahidi iliniweze pate sile sani patikana na kristo yesu.
\v 13 Mwolongo bango, ndakiteli kwamba eti njonmwike pata mbambo gano. Bali mbanga jambo limo ndibalya gasogo nitazamia gannonge.
\v 14 Niitahidi ikya lengo ilikusudi nipate tuzo la kunani la kimelwa na nnongo katika kristo yesu.
\v 3 Kwa kweli, nenda kumsihi kae mwapanga kazi ayango, mwasaidi ana akina mao kwa kuwa batumike pampe nane katika enezo injili ya nngwana tubile na kelementi pamopo na atumwa benge ba nngwana, ambao maina gabe gaandikilwe katika kitabu cha ukolo.
\v 13 Niweza panga gano kwawezeshwelwa nahwembe hwanjega ngupu.
\v 14 Hatanyo, mwapangike vema shirikiana nane katika dhiki yango.
\v 15 Mwenga mwa afilipi ntangite kwamba mwanzo wa injili panaboi makedonia, ndapo kanisa laliniwezeshike katika mambo gagahusu piya na pokya isipokuwa mwenga kisinu.
\v 18 Mbokile ilebe yote, nasasa nitwilile naileba ya mbone. Nipokile ilebe yinu bokya kwa epafradito. Nailebe nzuri yenenungwa wabya manukato, yayekitilwa ambayo yote ni sadaka ya impendeza Nnongo.
\v 19 Kwa ajili yoa nnongo wango atwiliyanga maitaji ginu kwaajili ya utukufu wake katika yesu kristo.